.

BRIGEDIA JENERALI MWAKANJUKI AFARIKI DUNIA

Apr 20, 2012

Brigedia Jenerali Mstaafu Adam Mwakanjuki amefariki dunia jana katika hospitali ya JeshiLugalo jijini Dar es Salaam.

Habari zimesema Mwakanjuki amefariki katika hospitali hiyo saa saba mchana, baada ya kuwa amelazwa katika hospitali hiyo baada ya kupata ajali ya gari.

2 Comments:

emu-three said...

Twamuomba Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, poleni sana ndugu na jamaa kwa msiba huu , tupo pamoja

emu-three said...

Twamuomba Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, poleni sana ndugu na jamaa kwa msiba huu , tupo pamoja

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช