Kwa mujibu wa nukuu kutoka taarifa ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali CEG, kama ilivyowasilishwa Bungeni vyuo vya Elimu ya Juu vimebainika kuwa na ufusadi wa kutisha katika mishahara ya wafanyakazi hewa kama ifuatavyo
* Chuo Kikuu kishiriki cha Mkwawa wafanyakazi 42 toka Oktoba 2009 hadi June 2010, ambapo jumla ya sh. milioni 612 zimelipwa.
*Mzumbe Uviversity kwa miezi kadhaa hazina imeonekana kuwa imelipa chuo hicho sh. Milioni 194.4
*Chuo Kikuu Kishiriki cha DUCE Sh. Milioni 778.7
*Mwalimu Nyerere Memorial Academy sh. Milioni 134.7
*Taasisi ya Ustawi wa Jamii sh. milioni 181
UFUSADI KATIKA TAASISI NA SEKTA ZA UMMA
*Afya sh bilioni 10.10
*Mamilioni ya JK sh. milioni 21
*Ukwepaji kodi Sh. bilioni 5.4
*Shirika la Viwango la Taifa TBS dola 18.3milioni
*Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Sh. bilioni 600
*Maliasili na Utalii Sh. milioni 874.9
* Magari ya serikali Sh. trilioni 5
*Na nyingine nyingi.....
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269