.

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA CRDB, DK. CHARLES KIMEI OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Apr 4, 2012

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kifafanua jambo alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, DK.Charles Kimei (wapili kushoto), Ofisini kwake jijini Dar es salaam, kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusu benki hiyo. Pia CRDB walimkabidhi Waziri Mkuu hundi ya sh. milioni 5 kwa ajili ya kusaidia Mfuko wa Elimu Tanzania.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª