.

JK AONGOZA WATANZANIA SHEREHE ZA MIAKA 48 YA MUUNGANO

Apr 26, 2012 Rais Dk. Jakaya Kikwete, akipunga mkono kusalimia wananchi wakati akiingia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo Aprili 26, 2012 katika sherehe za miaka 48 ya Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar.
 Rais Kikwete akikagua gwaride
 Rais Kikwete akimsalimia Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba
 Rais Kikwete akimsalimnia Mama Maria Nyerere. Kulia ni Spika wa Bunge Anna Makinda
 Baadhi ya Viongozi wa Kiserikali wakiwa ni miongoni mwa waliohudhuria sherehe hizo katika Uwanja wa Uhuru, wakisimama wakati wa kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 
 Rais Kikwete akimsalimia Makamu wake, Dk. Mohammed Gharib Bilal
 JWTZ wakionyesha ukakamavu wao wakati wa gwaride
 Nevi katika gwaride
 Vijana wa halaiki wakisherehesha maadhimisho hayo
Kikundi cha Sanaa cha JKT Oljoro, kikionyesha umahiri wake wa kuimba na kucheza 'Kiduku' wakati wa sherehe hizo. Picha: Freddy Maro na Muhidin Sufian

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª