.

KATIBU MKUU WA CCM ASHIRIKI KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI NCHINI RWANDA

Apr 7, 2012

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Wilson C. Mukama na mkewe Sophia Mukama, wakiweka shada la maua kwenye kaburi la pamoja la watu waliokufa katika mauaji ya kimbari yaliyotokea Mwaka 1994, Kigali nchini Rwanda. Mukama yupo nchini Rwanda kufuatia Mwaliko wa Katibu Mkuu wa chama cha Rwanda cha RPF kushiriki katika kumbukumbu za miaka 18 ya mauaji ya kimbali. (Picha na Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM).

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª