.

MELI YA MAGUFULI YAANZA KUZAMA

Apr 21, 2012

Meli ya Uvuvi iliyokamatwa katika kina kirefu cha Bahari ya Hindi zaidi ya miaka mitatu iliyopita ikianza kuzama kwenye gati la bandari jijini Dar es Salaam, ambako imehifadhiwa. Kesi kuhusiana na waliokamatwa katika meli hiyo imekwishamalizika na wahusika kuhukumiwa kifungo na wengine kuachwa huru. Je nini hatma ya meli hii? Picha kutoka Michuzi Blog

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช