.

NAPE NA MBATIA WAHUDHURIA MKUTANO WA VYAMA VYA SIASA DENMARK

Apr 21, 2012

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye (wapili kushoto) na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia (kulia) wakiwa na Watanzania wanaoishi Denmark, wakati wa Mkutano wa Kimataifa wa Vyama vya Siasa uliofanyika jijini Copenhagen, Denmark.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช