.

NAPE AKUTANA NA KUWA NA MAZUNGUNGUMZO NA UJUMBE WA WANAFUNZI KUTOKA MAREKANI

Apr 23, 2012

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kulia) akizungumza 
wakati wa kikao chake na Ujumbe wa Wanafunzi kutoka Marekani waliomtembelea katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam, leo. Nape alijadiliana nao masuala mbalimbali ya siasa. Kushoto ni Kiongozi wa msafara huo, Jola Yoder kutoka Idara ya Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Spokane, Marekani.
 Nape(kushoto) akifafanua jambo wakati wa mazungumzo hayo
 Nape (kulia) akionyesha kijitabu cha Kilimo Kwanza' wakati wa kikao hicho.
 Nape(kulia) akimkabidhi Yoder vitabu vya Kilimo Kwanza' wakati wa mazungumzo hayo.
Nape (kulia) akimkabidhi 'opener'  Yoder
 Yoder kutoka Idara ya Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Spokane, Marekani, akimshukuru Nape, baada ya mazungumzao hayo.
 Nape na Jola Yoder kutoka Idara ya Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Spokane, Marekani, wakiwa 
katika picha ya pamoja na ujumbe wa wanafunzi kutoka Marekani  baada ya mazungumzao hayo.
Nape akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa Marekani, baada ya mazungumzo hayo

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª