.

RAIS KIKWETE AKUTANA NA SENETA WA OKLAHOMA, MAREKANI

Apr 12, 2012Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Senata James Inhofe wa Oklahoma,Marekani wakati seneta huyo na ujumbe wake walipomtembelea ikulu jijini Dar Es Salaam na kufanya mazungumzo naye(picha na Freddy Maro).

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช