.

RAIS KIKWETE AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA, AMALIZA ZIARA BRAZIL

Apr 20, 2012


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na viongozi wa  chama cha wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa wa nchi ya Brazil alipokutana nao katika siku ya mwisho ya  ziara yake ya kikazi jijini Sao Paulo, katika siku yake ya mwisho ya ziara yake ya Brazil April 19, 2012. Wa pili kulia ni Makamu wa Rais wa chama hicho Bw Joao Guilherme Sabino Ometto na kushoto ni Mkurugenzi wa chama hicho Thomaz Zanotto na kulia ni Waziri wa kazi na Uwezeshaji Wanachi Kiuchumi na Ushirika wa Zanzibar Mh Haroun Ali Suleiman.

 Rais Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo na wajumbe wa Chama Cha Wafanyabiashara na Wawekezaji wakubwa nchini Brazil, siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazo jijini Sao Paul Aprili 19, 2012. (PICHA NA IKULU)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª