.

MECHI YA SIMBA NA MORO, TAIFA

Apr 23, 2012

 Emmanuel Okwi wa Simba akiwachambua wachezaji wa Moro United timu hizo zinapomenyana aleo Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom. 
 Bao la pili la Simba dhidhi ya Moro United
Boban wa Simba akikumbatiwa na Gervas Kago baada ya kupata bao la pili. Kushoto ni Omari Gae wa Moro akiwashangaa 
Wachezaji wa Simba wakimbeba kocha wao baada aya mechi kumalizika wakiwa wameizamisha Moro mabao 3-0 katika mechi hiyo.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª