Breaking News

Your Ad Spot

Jun 3, 2012

CCM ILIVYOITEKA SONGEA, KINA MAMA WAGARAGARA MBELE YA NAPE

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiana na wananchi waliofurika kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea alipowasili kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa hadhara leo
 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akisalimia wazee baada ya kuwasili Kata ya Tanga, wilani Songea  ambako yalifanywa mapokezi yake.
 Nape akisisitiza jambo wakati akihutubia mkutano huo
 Kina mama wakigara gara chini mbele ya Nape baada ya hotuba yake kugusa kero za wananchi wa Ruvuma
 Nape akipita kwenye kanga alizotandikiwa na kina mama kwenye mkutano huo
 Akisalimiana kabla ya kuondoka UIwanjani
 Nape akimtuza kijana wa Madrasaatul  Nabai ya Masigira, baada ya kijana huyo kuomba dua alipowasili mjini Songea
 Nape akizindua mradi mabanda 119 ya biashara eneo la Mshengano,Songea. Vibanda hivyo vya CCM vimejengwa na CCM kwa sh. milioni 206
 Nape akishiriki kucheza ngoma
 Waendesha pikipiki wakiongoza msafara wa Nape kwenda Uwanja wa Maji Maji
Alipofika akasaidia kupiga ngoma

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages