Breaking News

Your Ad Spot

Jun 15, 2012

MRADI ZIWA TANGANYIKA WAPATIWA TOYOTA LAND CRUISER

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula akimkabidhi Dk. Hadson Nkotagu, gari aina ya Toyota Land Cruisel la mradi wa Ziwa Tanganyika  ambalo limetolewa chini ya ufadhili wa Benki ya Maendeleo ya Afrika-AFDB, ikiwa ni gari ya pili ambayo imetolewa kwa shughuli za mradi kuboresha ya uvuvi katika mwambao wa  ziwa hilo kwenye mikoa ya Kigoma,Rukwa na Katavi. Makabidhiano hayo yamefanyika leo, kwenye  ofisi za Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam. (Picha na Ali Meja)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages