Breaking News

Your Ad Spot

Jun 11, 2012

WABANGUA KOROSHO WACHARUKA DAR

 Wafanyakazi wa viwanda vya kubangua korosho vya TANITA Kibaha na TANITA Dar es Salaam, leo wamevamia ofisi za Bodi ya Korosho zilizopo jijini Dar es Salaam, wakitaka kujua hatma ya mishahara yao ambao wanadai hawajalipwa kwa miaka mingi sasa.
Wafanyakazi hao wakiwa wametia kufuli kwenye mlango wa ofisi hizo, baada ya mabosi kudaiwa kuwakimbia wafanyakazi hao bila kuwapa majib. Picha; Daily Nkoromo Blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages