Breaking News

Your Ad Spot

Sep 2, 2012

MWANDISHI AUAWA IRINGA KATIKA VURUGU ZA CHADEMA NA POLISI

MWANDISHI WA HABARI WA CHANEL TEN MKOANI IRINGA DAUD MWANGOSI AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUTOKEA VURUGU KATI YA WAFUASI WA CHADEMA NA JESHI LA POLISI KUTULIZA GHASI FFU LEO

ASKARI WA KUTULIZA GHASIA FFU WAKIWA NA BANGO LINALOSEMA WATU WOTE WAONDOKE KATIKA EENEO HUSIKA LEO HII MKOANI IRINGA

DAUDI MWANGOSI MWENYE KOFIA NYEUSI NA DENGIRIZI KULIA WALIOSISIMAMA WA PILI, MWENZAKE MWENYE FULANA NYEKUNDU KABLA HAJAFARIKI DAKIKA CHACHE KABLA YA KIFO CHAKE, CHA KWA HISANI YA MTANDAO WA MZEE WA MATUKIO IRINGA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages