Breaking News

Your Ad Spot

Sep 2, 2012

MWILI WA ALIYEKUWA KATIBU WA CCM MKOA WA MOROGORO WAWASILI IRINGA

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, John Chiligati akiagana na baadhi ya waombolezaji kabla ya mwili wa aliyekuwa Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Mayr Chipangula, kuondoka Hospitali ya Taiafa Muhimbili Dar es Salaam, leo asubuhi kupelekwa Iringa kwa ajili ya maziko.
 Msafara wa kuupeleka mkoani Iringa mwili wa marahemu Asha Kipangula ukiwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro, ukitokea Dar es Salaam, ambapo kwenye ofisi hiyo ulisimamishwa kwa muda kutoa fursa kwa wana-CCM na waombolezaji wenmgine kuaga.
 Mmoja wa viongozi wa CCM akilia kwa huzuni baada ya mwili kufika Morogoro
 Katibu wa CCM, Mary Chatanda akiangua kilio mwili wa marehemu Asha Chipangula ulipofikishwa nyumbani kwao Iringa jioni hii.
 Muombolezaji akiangua kilio nyumbani kwa marehemu mjini Iringa
 Sheikh Mohammed Kairo akiongoza dua, mwili wa marehemu Asha Kipangula uliowasili mjini Morogoro
 Kiongozi wa msafara, LKatibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itiladi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akijadiliana na baadhi ya viongozi mwili ulipowasili mjini Morogoro. Baadhi ya viongozi hao ni Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Sixtus Mapunda na
 Vijana wa CCM wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Asha Kipangula
 Jeneza likiingizwa nyumbani kwa marehemu mjini Iringa
Nape akizungumza na baadhi ya waombolezaji mjini Morogoro. Aliyesimama ni Kada wa CCM, Asas

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages