Breaking News

Your Ad Spot

Sep 2, 2012

RAIS KIKWETE AKUTANA NA BOSI WA VODACOM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom hapa nchini Bw.  Rene Meza, Ikulu  Dar es Salaam, walipokutana, Ijumaa Agosti 31,2012, ambapo aliishukuru kampuni hiyo ya simu za mkononi kwa kuchangia katika mradi wa kuhifadhi mbwa mwitu katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mradi unaojulikana kama Vodacom Foundation Serengeti Wild Dogs Conservation Project, kwa dola za Marekani 450,000 kwa kipindi cha miaka mitatu. kumi na Moja, wamerudishwa mbugani siku ya Alhamisi Agosti 30, 2012  baada ya kuhifadhiwa kwenye boma maalumu la mradi huo,  katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages