.

CCM YAIBWAGA CHADEMA BUGARAMA, KAHAMA

Oct 28, 2012


Chama cha Mapinduzi kimefanikiwa kuibwaga Chadema katika uchaguzi mdogo wa Udiwani uliofanyika katika Kata ya Bugarama wilayani Kahama mkoani Shinyanga.

Habari zilizopatikana zimesema,  katika uchaguzi huo ulifanyika leo CCM imepata kura 1145
Chadema: 772 na TADEA: 156 wagombea wakiwa Nixon Igoko (CCM) Erasmus Francis (Chadema) na Clement Michael (TADEA) 
Pia habari zilizopatikana kutoka Kata ya Shinyanga mjini ambako pia uchaguzi mdogo wa Udiwani umefanbyika, zimasema CCM imeshinda. Hata hivyo hatukuweza kupata mizania ya ushindi huo kwa kura.

1 Comments:

Anonymous said...

WATANZANIA TUMUAMINI NANI WAPO WANAOSEMA CCM IMEPOTEZA MVUTO LAKINI MATOKEO YA CHAGUZI INAKUWA KINYUME CHAKE CCM IMESHINDA KATA 22, CDM 5 TLP 1

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช