Breaking News

Your Ad Spot

Nov 17, 2012

KINANA ATUA ZANZIBAR LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Zanzibar, kwa ajili ya kushiriki sherehe za kupongezwa safu mpya ya uongozi wa CCM Kitaifa, uliopatikana mjini Dodoma, zinazofanyika leo Viwanja vya Demokrasia (KibandaMaiti) mjini Zanzibar. Wengine Kuhsoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mjini Magharibi Yusuf Yusuf na Kutoka kulia ni  Naibu Katibu Mkuu (Bara) Mwigulu Nchemba, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai (Bara). PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages