Breaking News

Your Ad Spot

Dec 9, 2012

JK AWATUNIKU NISHANI BI KIDUDE, GURUMO, MARIJANI, MZEE KIPARA NA AKWARI


Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete, akimtunuku Nishani ya Sanaa na Michezo Bi Fatma Baraka Khamis,(Bi Kidude) kupitia Baraza la Sanaa Zanzibar (BASAZA) Katika sherehe  za kutunuku nishani mbali mbali katika viwanja vya Ikulu Dar es Salaam, katika kusherehekea maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru wa Tanganyika. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.) KWA HABARI ZAIDI  ZA UTOAJI WA TUZO HIZO INGIA UKURASA WETU WA MICHEZO, BURUDANI NA SANAA AU BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages