
MAMIA ya watu leo walilipuka kwa shangwe na vigelegele wakati wakiilaki treni ya abiria (pichani), ilipowasili jijini Mwanza kwa mara ya kwanza baada ya kusitishwa kwa safari zake toka Disemba 2009. Iiliwasili katika Stesheni ya mjini Mwanza saa 5:55 mchana. Kwa Habari za kina, Ingia Ukurasa wetu wa Biashara na Uchumi au BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269