Breaking News

Your Ad Spot

Dec 10, 2012

UZINDUZI WA KAMPENI YA LISHE LINDI


Mwakilishi wa Mratibu wa Lishe katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Sarah Mshiu (kulia) akikabidhi unga wa lishe na maziwa kwa mkazi wa Lindi, Zainabu Ali na mtoto wake Bright Abdallah, ambaye aliweza kueleza
vizuri masuala ya lishe, katika uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha umuhimu wa lishe bora yenye lengo la kupunguza vifo vya mama, wajawazito na watoto ulioandaliwa na Shirika la Watoto la Save the Children kwa kushirikiana na Jukwaa la Lishe Tanzania (PANITA) katika Uwanja wa Ilulu, Mkoani Lindi mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mkurugenzi wa Save the Childern Tanzania, Rachel Pounds. PICHA ZAIDI INGIA KWENYE UKURASA WETU WA WATU NA MATUKIO, AU BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages