Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia Madini, Mhe. Stephen Masele akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa wachimbaji wadogo wa madini nchini, uliofanyika mjini Dodoma hivi karibuni.
Uongozi wa mpito kitaifa wa Chama cha Wachimbaji Wadogo wa Madini mara baada ya kuchaguliwa na mkutano wao mkuu wa mwaka uliofanyika hivi karibuni mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo akihutubia Mkutano Mkuu wa mwaka wa wachimbaji wadogo wa madini uliofanyika hivi karibuni mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo (wa kwanza kushoto), na Naibu wake Mhe. Stephen Masele wakishiriki katika mkutano mkuu wa mwaka wa wachimbaji wadogo wa madini uliofanyika hivi karibuni mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo (katikati) katika picha ya pamoja na makamishna wasaidizi wa madini kutoka kanda mbalimbali, mara baada ya kufunga mkutano mkuu wa mwaka wa wachimbaji wadogo wa madini uliofanyika hivi karibuni mjini Dodoma. HABARI ZAIDI INGIA KATIKA UKURASA WETU WA BIASHARA NA UCHUMI AU BOFYA HAPA
Your Ad Spot
Dec 10, 2012
Home
Unlabelled
WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI NCHINI WAFANYA MKUTANO WAO MKUU WA MWAKA MJINI DODOMA
WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI NCHINI WAFANYA MKUTANO WAO MKUU WA MWAKA MJINI DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269