Breaking News

Your Ad Spot

Dec 1, 2012

JOSEPH SENGA AOA


Mpiga Picha Mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, Joseph Senga akiwa na mke wake, Fridah Mockray wakati wa ibada ya ndoa takatifu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Sinza jijini Dar es Salaam jioni hii. (Picha zote na Habari Mseto Blog)
 Mpiga Picha Mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, Joseph Senga akiwa katika pozi na mke wake, Fridah Mockray mara baada ya kufunga ndoa katika Kanisa Katoliki Sinza jijini Dar es Salaam jioni hii. (Picha zote na Habari Mseto Blog)
Mpiga Picha Mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, Joseph Senga akipongezwa na mama yake mzazi
Pozi la harusi
Picha ya pamoja
Maharusi wakitoka Kanisani
Matron akisaini cheti

 Maharusi wakisaini
Joseph Senga akisaini cheti

1 comment:

  1. maharusi hawa mbona wako very very serious kama mapolisi, wamelazimishwa kuoana.

    huwezi kuandika captions kwamba wakiwa na nyuso za furaha, labda muandike wakiwa na nyuso za visirani.

    hata hivyo hongera kaka senga kwa kuuaga ukapera.

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages