Breaking News

Your Ad Spot

Dec 1, 2012

ZANZIBAR WAADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI

 Wananchi  waliohudhurika katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 . wakiwa na bango wakati wa maadhimisho hayo huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.
 Waziri wa Afya Juma Duni Haji akikata utepe katika Kitabu ikiwa ni Ishara ya Uzinduzi wa Mkakati wa Awamu ya Pili wa Uhamasishaji  na Utetezi dhidi ya Ukimwi,huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 Zanzibar.
 Waziri wa Afya Juma Duni Haji akitoa Hotuba katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 huko katika Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.kulia yake ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pembe Juma Khamis na kushoto yake ni Mwenyekiti wa Tume ya Ukimwi Zanzibar Prof,Saleh Idris Muhammed.
 Wananchi mbalimbali waliohudhurika katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 . wakisoma majarida ya Ukimwi yaliotolewa kwa ajili ya kijifunza masuala ya Ukimwi.huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.
 Wananchi wa Vijiji mbalimbali wamejitokeza katika kuangalia Afya zao katika Vituo  vilivyowekwa katika sehemu ya Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 . huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.
 Wananchi wa Vijiji mbalimbali wamejitokeza katika kuangalia Afya zao katika Vituo  vilivyowekwa katika sehemu ya Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 . huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.
Wanafunzi kutoka Skuli ya Regeza Mwendo,Langoni na SOS wakitoa elimu ya Ukimwi kwa Njia ya Mchezo wa Kuigiza katika Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 . huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages