Breaking News

Your Ad Spot

Feb 16, 2013

AZAM YAILAMBA SUDAN 3-1 MECHI YA KOMBE LA SHIRIKISHO

 Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao la pili la timu yao lililofungwa na Kipre Tchetche (katikati) wakati ilipoibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya El Nasir ya Sudan ya Kusini katika mchezo wa Kombe la Shirikisho uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. PICHA ZAIDI INGIA KATIKA UKURASA WETU WA SPOTI AU BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages