.

MAUAJI YA PADRI WA KANISA KATOLIKI KWA KUPIGWA RISASI WAKATI AKIENDA KANISANI ZANZIBAR

Feb 17, 2013


Picha tofauti za Padri wa Kanisa Katoliki, Padri Evarist Mushi zikimuonesha enzi za uhai wake, Padri Mushi ambaye ameuawa leo asubuhi kwa kupigwa risasi wakati akiingia Kanisani kwa ajili ya Ibada ya Jumapili katika eneo la Mtoni Mjini Magharibi Zanzibar.  
 Hapa ni katika eneo la tukio la mauaji ya Padri Evarist Mushi.
 Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi (wa pili kushoto) akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud walipotembelea eneo la tukio leo.
 Gari alilokuwa amepanda Padri Evarist Mushi likiwa limetapakaa damu baada ya kupigwa risasi
Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi akizungumza na waandishi wa habari mjini Zanzibar leo kufuatia mauaji ya Padri wea Kanisa katoliki, Padri evarist Mushi. (Picha na Adrew Chale, Zanzibar)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช