Breaking News

Your Ad Spot

Feb 10, 2013

MWENYEKITI WA CCM, RAIS KIKWETE AFUNGUA SEMINA YA WAJUMBE WA NEC DODOMA

Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula (kushoto) na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana wakiingia katika ukumbi wa mikutano wa White House uliopo makao makuu ya CCM mjini Dodoma leo.Rais Kikwete amefungua na kuongoza semina kwaajili ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa ambayo pamoja na mambo mengine itachagua wajume wa Kamati kuu.
 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akielekeza jambo wakati wa ufunguzi wa Semina maalum kwaajili ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa iliyofanyika mjini Dodoma katika ukumbi wa White House makao makuu leo.Kushoto anayesikiliza kwa makini ni Makamu  Mwenyekiti Mstaafu wa CCM bara Pius Msekwa.Wengine katika picha ni Rais Wa Zanzibar ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein(Wapili kushoto),Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana(wanne kushoto), na kulia ni Makamu Mwenyekiti CCm Bara Ndugu Philip Mangula

Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye semina hiyo
 Baadhi ya maofisa wa Chama wakiwa kwenye semina hiyo
 Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye semina hiyo
Baadhi ya wajumbe kwenye semina hiyo
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Wilson Mukama akisalimiana na Katibu wa NEC, Oganaizesheni mstaafu Asha Abdallah Juma nje ya ukumbi kabla ya kuanza semina. Mukama na Asha sasa ni Wajumbe wa NEC.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages