Breaking News

Your Ad Spot

Feb 6, 2013

POLISI ANAPOSHIRIKI KUKIUKA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

 Polisi akiwa amepakiwa kwenye pikipiki bila wote kuvaa kovia za kujihami ajali inapotokea, kama walivyoshuhudiwa na kamera ya blooger wetu Bashir  Nkoromno, jioni hii, eneo la Ruvu, mkoa wa Pwani.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages