Wakati hali ikiendelea kutafsiriwa kuwa tete, katika CHADEMA baada ya uamuzi wa chama hicho kumpiga chini aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wake, Zitto Kabwe pamoja na wenzake wawili, jana, hali imezidi kuwa ya majanga zaidi ndani ya chama hicho, kufuatia Mjumbe wa Tume ya Katiba, Profesa Mweisiga Baregu na Mabere Marando, kutoa kauli ya kujiondoa na kujiuzulu nafasi zao ndani ya Chama hicho.
Habari zinasema, Profeasa Baregu (pichani) na Marando ambao amekuwa chachu ya maana sana katika Chadema, wamefikia uamuzi huo kutokana na maamuzi yaliyofanywa na kikao cha Kamati kuu ya chama hicho.
Huyu ni Mjumbe wa pili wa Kamati Kuu ya Chadema kuamua kujiuzulu wadhifa wake katika kipindi kisichozidi saa 12. Taarifa zaidi zitakuja baadaye
Your Ad Spot
Nov 23, 2013
Home
Unlabelled
PROFESA BAREGU, MARANDO MAJI YA SHINGO, WAACHIA NGAZI CHADEMA
PROFESA BAREGU, MARANDO MAJI YA SHINGO, WAACHIA NGAZI CHADEMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269