Breaking News

Your Ad Spot

Dec 23, 2013

KASEBA AMTOA ALIBABA KWA K'O NGUMI ZA UBIGWA WA TAIFA

Bondia Japhert Kaseba (kushoto) akicharazana makonde na bondia  Alibaba Ramadhani wakati wa kugombania Ubingwa wa Taifa, katika mpambano uliofanyika Manzese Dar es Salaam, jana na  Kaseba kushinda  kwa KO ya raundi ya nne. PICHA ZAIDI YA MMENYANO HUO BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages