Breaking News

Your Ad Spot

Dec 22, 2013

NDONDI WAPATA MZANI WA KISASA KUPIMIA MABONDIA KABLA YA MAPAMBANO


Mkurugenzi wa Sahel Traing Co.Ltd, Ally Hazam (kushoto) akimkabidhi mzani Yassin Abdalla 'Ostadh'  wenye thamani ya sh. milioni 1.4 ambao umetolewa na kampuni hiyo kutekeleza ahadi yao ya kusaidia mchezo wa masumbwi nchini. Makabidhiano hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam. Picha zaidi BOFYA HAPA :Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com) 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages