Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa na Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye wakisubiri kuingia ukumbini kuhojiwa na Tume ya Maadili ya CCM, leo mjini Dodoma, kuhusiana na kudaiwa kujipigia kampeni za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kabla ya wakati kuwadia
Waziri wa Nishati na Madini wa zamani, William Ngeleja akisubiri pia kwenda chumba cha kuhojiwa.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot


No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269