Breaking News

Your Ad Spot

Mar 25, 2014

KINANA AANZA ZIARA MKOA WA DAR ES SALAAM, AANZIA ILALA

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi kwenye mradi wa ujenzi wa tangi la maji katika eneo la Tabata Kimanga, akiwa katika ziara ya siku moja katika wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Mecky Sadik
 Kinana akipanda juu kukagua ujenzi wa tangi hilo la maji ambalo lina uwezo wa lita 200,000
Kinana akishuka baada ya kukagua tangi hilo litakalohudumia wakazi Tabata Kisiwani na Tabata Kimanga
Kinana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabiba wakishuka baada ya kinana kukagua tangi hilo
Katibu Mkuu wa CCM Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana akipokea salam ya heshima kutoka kwa Jijana wa Chipukizi wa CCM waliyompa alipowasili Ofisi ya CCM wilaya ya Ilala. Wapili Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabiba na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge.
Kinana akiwasalimia wana-CCM baada ya kuwasili Ofisi ya CCM wilaya ya Ilala
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida akimkabidhi Kinana taarifa ya kichama ya mkoa huo.
Kinana akizungumza na Kamati ya Siasa ya mkoa wa Dar es Salaam
Makaribisho wilaya ya Ilala
Kinana akiwasalimia wana-CCM alipowasili Ofisi ya CCM ya Ilala.
Kinana akisalimiana na wana-CCM alipowasili Ofisi ya CCM wilaya ya Ilala
Kinana akisalimiana na wananchi alipowasili Buguruni Kisiwani, wilaya ya Ilala
Kinana akikagua soko la Tabata Kisiwani wakati wa ziara hiyo
Bango la kumkaribisha Kinana alipotembelea viwanja vya Kidongo Chekundu, Ilala kuona mradi wa viwanja vya michezo kwenye eneo hilo.
Kinana akisalimiana na wananchi alipowasili viwanja vya Kidongo Chekundu wilayani Ilala
Mbune wa Ilala Mussa Zungu akizungumzia mradi wa ujenzi wa viwanja vya michezo kwenye eneo la Kidongo chekundu, wilayani Ilala
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, akizungumzia mradi huo mbele ya Kinana.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimpongeza Silaa baada ya kuzungumzia mredi wa ujenzi wa viwanja vya michezo Kidongochekundu.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages