Mjumbe wa
Bunge Maalum la Katiba Bw. Mansoor Hiran akiongea na wanahabari baada ya Semina
ya ya uundwaji wa kanuni zitakazoongoza bunge maalum la katiba kuahirishwa leo
mjini Dodoma.
Baadhi wa
wajumbe maalum wa katiba wakibadilishana Mawazo Nje ya ukumbi wa Bunge baada ya
Semina ya ya uundwaji wa kanuni zitakazoongoza bunge maalum la katiba
kuahirishwa leo mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269