Breaking News

Your Ad Spot

Apr 5, 2014

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI RUKWA KWA KUHUTUBIA MAMIA YA WANANCHI MJINI SUMBAWANGA JIONI HII, BAADA YA KUKAGUA MRADI WA MAJI SAFI NA MAJI TAKA WA MABILIONI YA FEDHA KATIKA MJI HUO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Aprili 5, 2014, katika bustani ya Uwanja wa Nelson Mandela, mjini Sumbawanga, mwishoni mwa ziara yake mkoani Rukwa
 Mkurugenzi wa Majisafi na Majitaka Sumbawanga (SUWASA), mkoani Rukwa, Antipas Shirima akimpatia maelezo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuhusu ujenzi wa tanki la lita milioni moja za majisafi linalojengwa katika mradi wa SUWASA unaotarajiwa kumalizikama Machi 7, mwakani (2015). Kinana yupo mjini Sumbawanga akiwa katika ziara ya siku sita mkoani Rukwa.

 Mkurugenzi wa Majisafi na Majitaka Sumbawanga (SUWASA), mkoani Rukwa, Antipas Shirima akimpatia maelezo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuhusu ujenzi wa bwawa la maji taka linalojengwa katika mradi wa SUWASA unaotarajiwa kumalizikama Machi 7, mwakani (2015). Kinana yupo mjini Sumbawanga akiwa katika ziara ya siku sita mkoani Rukwa.
Kinana akionyeshwa mtandao wa huduma za usambazaji maji Sumbawanga utakavyokuwa. Anayempa maelezo ni Ngainayo Colman wa SUWASA. Picha zote na Bashir Nkoromo wa theNkoromo Blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages