Akitoa mkono wa pole kwa mgonjwa alielazwa katika wodi maalum ya magonjwa ya kuambukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke.
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia), akimjulia hali mgonjwa wa Dengue, Pascal Luhuna,kushoto ambaye ni Askari Polisi kituo cha Kati Dar es Salaam jana katika Hospitali ya Rufaa na Mkoa Temeke,wapili kushoto mwenye suti ni Mganga mkuu wa wa Hospitaki hiyo ni Mganga waHospitali hiyo, Amaani Malima na wapili kulia ni Mratibu wa Huduma saidizi Temeke Hospitali Daktari, Rukia Msami
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (wa tatu kulia), akimjulia hali mgonjwa wa Dengue,Veronica Tesha,(kushoto) Dar es Salaam jana katika Hospitali ya Rufaa na Mkoa Temeke,wapili kushoto mwenyekitambaa cheusi ni Mratibu wa Huduma saidizi wa Hospitali hiyo Rukia Msami mwenye suti ni Mganga mkuu wa wa Hospitaki hiyo Amaani Malima na wakwanza kulia ni mume wa Veronica Tesha,mzee Bawala Lemjus
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu na mwenyekiti wa Wabunge mkoa wa Dar es Salaam, akimkabidhi moja ya vifaa vya Dawa Mganga wa Hospitali ya Rufaa ya Temeke, Amaani Malima (kushoto) , wakati alipofika Hospitalini hapo kwaajli ya kusaidia dawa mbalimbali zenye thamani ya sh mill .1.5,na kushoto ni mwenye Duka la dawa Grant Swebe ,ambaye nayeye akichangia vifaa vya thamani ya sh 1,750,000.
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269