Breaking News

Your Ad Spot

May 13, 2014

KINANA,NAPE WATINGA NYUMBANI KWA PROFESA LIPUMBA, WASHUHUDIA BENDERA YA CUF ILIYOCHANIKA IKIPEPEA KWENYE NYUMBA YAO KATIKA KIJIJI CHA ILOLANGULU,TABORA


 Bendera ya Chama cha Wananchi (CUF), kinachongozwa na Mwenyekiti, Profesa  Ibrahim Lipumba ikipepea huku ikiwa imechanika nyumbani kwao katika Kijiji cha Ilolangulu, Jimbo la Kaskazini, Wilaya ya Uyui, Tabora. Bendera hiyo ilinaswa leo mchana wakati Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye walipofanya mkutano wa hadhara katika kijiji hicho.

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Ilolangulu, huku mbele yake ikionekana nyumba iliyowekwa bendera ya CUF, iliyochanika kwenye nyumba (inayoonekana) nyumbani kwa Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba katika kijiji hicho.Nape alisema si vizuri kwa kiongozi mkubwa wa CUF, Profesa Lipumba kuwepo na hali kama hiyo.

 Sehemu ya umati wa watu ukisikiliza kwa makini katika mkutano huo wa CCM.

 Askari wa Usalama barabarani wakipita karibu na nyumba hiyo.

Nyumbani kwa akina Profesa Ibrahim Lipumba, katika Kijiji cha Ilolangulu ikipepea bendera ya CUF ikiwa imechanika.PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages