Breaking News

Your Ad Spot

May 28, 2014

PICHA KUTOKA IKULU: KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKUTANA NA RAIS WA AFRICARE LEO

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akimlaki Rais wa Taasisi ya Africare, Dkt Darius Mans, alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 27, 2014.Kushoto  Mama Sekai P. Chikowero, Mkurugenzi Mwandamizi wa nchi za Tanzania, Rwanda na Uganda wa Africare ambayo ni taasisi kubwa ya maendelo kwa Afrika inayoendeshwa na Wamarekani wenye asili ya watu weusi. Bw. Mans yuko nchini kwa ziara ya kikazi ya siku nne.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Rais wa Taasisi ya Africare, Dkt Darius Mans, alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 27, 2014.Kulia ni Mama Sekai P. Chikowero, Mkurugenzi Mwandamizi wa nchi za Tanzania, Rwanda na Uganda wa Africare ambayo ni taasisi kubwa ya maendelo kwa Afrika inayoendeshwa na Wamarekani wenye asili ya watu weusi. Bw. Mans yuko nchini kwa ziara ya kikazi ya siku nne.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages