Breaking News

Your Ad Spot

May 26, 2014

PICHA : MAREHEMU AMINA NGALUMA ALIPOZIKWA JIJINI DAR ES SALAAM

Waombolezaji wakiwasili msibani.
MWANAMUZIKI nguli wa muziki wa dansi Tanzania, Amina Ngaluma, amezikwa leo mchana katika Makaburi ya Kitunda Machimbo, jijini Dar es Salaam, kuashiria kuwa sura au sauti ya mkali huyo haitasikika wala kuonekana tena ana kwa ana.
Ngaluma aliyefariki nchini Thailand, aliletwa jana usiku, ambapo wadau na mashabiki wa muziki wa dansi Tanzania, walipata fursa ya kushiriki katika mazishi yake.
Tofauti na wakati wa mapokezi ambapo wanaamuziki walishindwa kuhudhuria, jana katika mazishi hali ilikuwa nzuri kwa wadau wengi kujitokeza.
Waombolezaji(Wakinamama) wakiwa katika mapozi

Waomnbolezaji wakisubiri taratibu za mazishi
Kushoto, Mzee Kitime, Rashid Sumuni na Ali Choki wakipata chakula msibani
AustraliaWaombelezaji wakitoka msikitini tayari kwa kwenda kwenye maziko.
Mwili wa Amina Ngaluma Amina Ngaluma Akiwekwa Kaburini   Mume wa marehemu Amina Ngaluma akisoma dua kwa mkewe.
Amina Ngaluma Afariki DuniaMwili wa marehemu Amina Ngaluma ukishushwa tayari kuingia kaburini kwa maziko, Machimbo Mnarani.
Kaburini la Marehemu Amina NgalumaKaburi la marehemu Amina Ngaruma aliyezikwa leo maeneo ya Machimbo, Mnarani.
 Picha kwa hisani ya Global Publishers

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages