Breaking News

Your Ad Spot

Jun 20, 2014

Picha Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Apokea Rasmi Taarifa ya Mpango Mpya wa Uendelezaji Mji Mkuu Dodoma Kutoka Kwa Viongozi Waandamizi wa Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA)


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi waandamizi wa Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) muda mfupi baada ya viongozi hao kuwasilisha taarifa ya mpango mpya wa uendelezaji mji Mkuu Dodoma kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu ndogo mjini Dodoma leo asubuhi.Watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi, na wanne kushoto pemebeni ya Rais ni Kaimu Mkurugenzi mkuu CDA Mhandisi Ibrahim Ngwada.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages