Breaking News

Your Ad Spot

Oct 3, 2014

KINANA AFUNIKA TANGA MJINI, MAELFU WAHUDHURIA MKUTANO WAKE UWANJA WA TANGAMANO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Oktoba 3, 2014, kwenye Uwanja wa Tangamano, mwishoni mwa ziara yake katika mkoa wa Tanga
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakati akiwaahidi wakazi wa mkoa wa Tanga kuwaletea burudani ya muziki wa taarab, kutokana na kumfurahisha kwa mahudhurio yao katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Tangamano mkoani humo leo
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo wa hadhara kwenye Uwanja wa Tangamano mkoani Tanga.
Mbunge wa Tanga, Omar Nundu akizungumza na wapigakura wake kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa Tangamano, Tanga.
5
Wananchi wakiishukuru CCM kwa njia wa bango kwenye mkutano Tangamano
Kinana akiwapa saluti wananchi baada ya kuwasili uwanja wa Tangamano, Tanga
 Kinana akisalimia wazee baada ya kuwasili Uwanja wa Tangamano Tanga. Kulia ni Nape
Kinana na Nape wakisalimia wananchi baada ya kuwasili uwanja wa Tangamano, Tanga
Bodaboda zikiongoza msafara wa CCM kuingia Uwanja wa Tangamano, Tanga
Mjumbe wa Shina namba moja, katika Kata ya Mswambweni, Kombo Mbwana akimpatia zwadi Kinana baadaya Katibu huyi wa CCM kwenda nyumbani kwake. Kulia ni Nape
Nape akisalimia wananchi nyumbani kwa balozi wa shina namba moja, Kombo Mbwana
Mjumbe wa shina namba moja, Kombo Mbwana akimlaki Kinana kwa furaha alipofika nyumbani kwake, kata ya  Msambweni
Kinana akimnomg'oneza jambo Kombo Mbwana
Kombo Mbwana akimpeleka Kinana kuketi alipowasili nyumbani kwake: PICHA ZAIDI BAADAYE

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages