Ofisa wa Chama, Makao Makuu ya CCM, Bashir Nkoromo akikabidhiwa kamera ya Kisasa aina ya Nikoni D90, baada ya kuinunua leo katika duka moja mjini Dar es Salaam, kwa sh. milioni 1.8. Bashir mbali na kuwa ofosa wa Chama pia ni Mpigapicha Mwandamizi wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru Mzalendo na Burudani na Pia ni Mtayarishaji Mkuu wa Blog hii na CCM Blog
Bashir akiijaribu kamera aina ya Nikon D90 baada ya kuifikisha nyumbani akiwa ameinunua kwa bei ya sh. milioni 1.8 kwenye duka la vifaa vya picha jijini Dar es Salaam.
Your Ad Spot
Nov 18, 2014
Home
Unlabelled
MKURUGENZI WA BLOG HII ANUNUA KAMERA KUBORESHA KAZI ZAKE
MKURUGENZI WA BLOG HII ANUNUA KAMERA KUBORESHA KAZI ZAKE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot




No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269