Breaking News

Your Ad Spot

Dec 5, 2014

SIMBA NA THE EPRESS YA UGANDA ZASHINDWA KUFUNGANA, UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM, LEO

Mchezaji wa Simba Ramadhani Sengano akipambana na mchezaji Katongole Henry wa Express ya Uganda, timu hizo zilipomenyana leo jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, katika mechi ya Kirafiki ya Kimataifa. timu hizo zimetoka bila kufungana.(Picha na theNkoromo Blog)
 Mchezaji wa Express ya Uganda, Katongole Henry akianguka na mpira wakati wakikabwa na mchezaji wa Elias Maguri Simba timu hizo zilipomenyana leo jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, katika mechi ya Kirafiki ya Kimataifa. timu hizo zimetoka bila kufungana
 Kibendera katika mechi ya Simba na Express ya Uganda akiwa makini kubaini kosa lolote, wakati wachezaji wa timu hizo walipokuwa wakimenyana timu hizo zilipocheza mechi ya kirafiki ya Kimataifa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, leo jioni
 Mchezaji Elias Maguri wa Simba akipambana na kipa wa Express ya Uganda wakati akijaribu kutafuta bao, timu hizo zilipo9menyana leo jioni kiwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, katika mechi ya Kirafiki ya Kimataifa.
 Mmoja wa wachezaji wa Simba akipatiwa matibabu baada ya kuumia katika harakati za kusaka bao
Wapigapicha kutoka baadhi ya vyombo vya habari wakiwa Uwanjani kupata matukio ya mechi hiyo. (picha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages