Breaking News

Your Ad Spot

Feb 26, 2015

MANISPAA YATUMIA NGUVU KUMWAGA KINYESI CHA MWALIMU DAR

 Gaudensia Albert (35) ni Mwalimu wa Shule ya Sekondari Kibasila wa manispaa ya Temeke, Ambaye anaishi na kinyesi ndani na leo Manispaa yachukua hatua ya kumwaga kinyesi hicho (PICHA NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa blog ya ujijirahaa na tembelea faceboock khamisimussa@wahoo.com
 Diwani wa Kata ya  Sandari Abel Tarimo,  akiwasili eneo la tukio 
 Wananchi wakihaha kutaka kuona na kujua kinacho endelea, wakipanda ukuta wa uzio wa Nyumba hiyo.

Askari polisi amabae alifahamika kwa jina moja la Shabani, akifungua mlango wa nyuma hiyo
Mwalimu anaye ishi na kinyesi ndani na Pichani ni baadhi ya kinyesi hicho kwenye vyombo tofauti. ambapo uchafu na haja zote humalizia ndani na ikiwemo na ufuaji wa nguo  na yaelekea aliwahi kuugua na matapishi yameonekana, kwa miaka miwiliyote hiyo niwazi hajaoneka na wapangaji akijishughulisha kwa chochote kama usafi. umeme hakuuhitaji pia.
 Mwalimu anaye ishi na kinyesi ndani na Pichani ni baadhi ya kinyesi hicho kwenye vyombo tofauti.
Baadhi ya vyombo alivyokuwa akihifadhia kinyesi ,mikojo, uchafu wa ndani na weusi unao onekana ni kama ujiuji wenye kutoa funza
Baadhi ya wafanyakazi wa Manispaa wakiwa wanapunguza  uchafu huo tayari kwa kwenda kumwaga katika karo ya choo.
Wafanyaka kazi wa Manispaa wakitoa kinyesi ndani kwa mwalimu   Gaudensia Albert (35) ambae ni mwalimu  wa Sayansi  Shule ya Sekondari Kibasila , Baada ya kuishi na kinyesi kwa miaka miwili ndani mwake anapoishi , pichani wakionekana majirani wakiziba Mapua.
Fafanya kazi hao wakimwaga kinyesi hicho
Fafanyakazi hao wakimwaga kinyesi hicho katika shimo la choo cha Nyumba hiyo.

Wafanyakazi wa Manispaa wakiendelea kutoa uchafu huo

Ofisa Afya Idara ya Usafi wa Manispaa ya Temeke , Jumanne Muhogo, akitoa maelekezo uwekaji wa Dawa katika vyombo hivyo vilivyokua vimetunzia kinyesi hicho
Ndani kwa Mwalimu huyo
Ofisa Afya Idara ya Usafi wa Manispaa ya Temeke, Flowig Tembo, akiongea na Waandishi wa Habari.
Diwani wa Kata ya Sandari , Abel Tarimo  akiongea na waandishi wa habari katika kusisitiza usasi uanzie ndani .
Gari la manispaa likiwa limebeba vitunza kinyesi, ambavyo ni mabeseni makubwa ya plastik, ndoo, chupa za soda , sadolini, ambapo vilionekana kua na harufu kari na kushindwa watu waliokua katika eneo hilo kupumua kwa shida .
Gari la manispaa likiwa limebeba vitunza kinyesi, ambavyo ni mabeseni makubwa ya plastik, ndoo, chupa za soda , sadolini, ambapo vilionekana kua na harufu kari na kushindwa watu waliokua katika eneo hilo kupumua kwa shida .

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages