Msikiti mpya wa Kijiji cha Kiongoni Makunduchi wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja ambao leo umefunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa Msikiti Mpya wa Kijiji
cha Kiongoni Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja (kulia) Mkuu wa
Mkoa Kusini Dk.Idriss Muslim Hijja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akikata utepe kuufungua Msikiti Mpya wa Kijiji cha Kiongoni
Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja na kuanza rasmi shuhuli za Ibada
(kulia) Mkuu wa Mkoa Kusini Dk.Idriss Muslim Hijja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (wa nne kushoto) pamoja na Mashekhe na Viongozi na Waislamu mbali
mbali wakiitikia dua iliyoombwa baada ya Swala ya Dhuhuri iliyoongozwa
na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji (kulia) baada ya ufunguzi
wa Msikiti Mpya katika Kijiji cha Kiongoni Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (wa kulia) pamoja na Mashekhe na Viongozi na Waislamu mbali mbali
wakiitikia dua iliyoombwa baada ya Swala ya Dhuhuri iliyoongozwa na
Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji (hayupo pichani) baada ya
ufunguzi wa Msikiti Mpya katika Kijiji cha Kiongoni Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Waislamu wa Kijiji cha Kiongoni
Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja baada ya kuufungua Msikiti mpya
kijijini hapo leo uliojengwa kwa nguvu za wananchi pamoja na Mwakilishi
wa Jimbo la Makunduchi Mhe, Haroun Ali Suleiman.
Mwalimu Mkuu wa Chuo cha Kiislamu Zanzibar Dr.Sheikh Muhidin Siasa
akitoa mawaidha baada ya ufunguzi wa Msikiti mpya wa Kijiji cha Kiongoni Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein.
Kadhi
Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji (kulia) alipokuwa akimkaribisha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein azungumze na waislamu baada ya ufunguzi wa Msikiti Mpya
katika Kijiji cha Kiongoni Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja
leo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269