Breaking News

Your Ad Spot

Feb 18, 2015

TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI JIMBO LA MPENDAE,ZANZIBAR


 Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Said Mohammed Dimwa akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kisima cha maji kwa wananchi wa Mpendae kilichochimbwa kwa udhamini wa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Wa pili kulia ni Meneja Uhusiano wa TBL, Doris Malulu.

Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),  Doris Malulu



akigongeana glasi za maji na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mpendae baada ya uzinduzi wa



kisima kilichochimbwa kwa msaada na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),  katika Jimbo hilo. Hafla



hiyo ilifanyika  Zanzibar, mwishoni mwa wiki.
 Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Zanzibar, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uvuvi na Misitu,  Mohammed Dimwa akimshukuru Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu baada ya kisima cha maji kilichochimbwa kwa msaada na TBL,  katika Jimbo hilo. Hafla hiyo Zanzibar, mwishoni mwa wiki.

 Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae na Naibu Waziri wa Uvuvi na Misitu, Said Mohammed Dimwa akimtwisha ndoo ya maji mama mkazi wa Jimbo la Mpendae, Zanzibar baada ya uzinduzi wa kisima cha maji kilichochimbwa jimbo humo kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Kisima hicho kilizinduliwa mwishoni mwa wiki.



Wageni waalikwa wakinywa maji  baada ya Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Mohammed Dimwa kuzindua kisima cha maji kilichochimbwa kwa msaada na Kampuni ya Tanzania (TBL),  katika Jimbo hilo. Hafla hiyo ilifanyika  Zanzibar, mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages