Breaking News

Your Ad Spot

Feb 26, 2015

TIMU YA RED ARROW YA ZAMBIA KURUDI KWAO BAADA YA ZIARA YA WIKI MOJA NCHINI

2
Timu ya Red Arrow Football Club ya Zambia inayoshiriki ligi kuu nchini Zambia, wakiwa kwenye picha ya pamoja na wahudumu wa ndege ya Fastjet uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar Es Salaam jana, tayari kurudi kwao baada ya ziara ya wiki moja nchini Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya Ligi yao inayotarajiwa kuanza mwenzi ujao.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages