Breaking News

Your Ad Spot

Feb 27, 2015

WAKUTWA WAMENASANA WAKIFANYA MAPENZI KICHAKANI HUKO SHINYANGA

  Mwanamme mmoja na mwanamke wamekutwa wamenasana wakati wakifanya mapenzi kichakani katika milima ya Don bosco iliyopo karibu na Shule ya Sekondari Donbosco katika kata ya Didia wilaya ya Shinyanga vijijini mkoani Shinyanga.

Habari zinasema kuwa watu hao wamekutwa wamenasana katika mlima huo  jana jioni  wakati wakivunja amri ya sita huku ikidaiwa kuwa mwanamke huyo ni mke wa mtu.

Inaelezwa kuwa mwanamme ni mwendesha bodaboda anayefanya safari zake kutoka Didia hadi Buyubi na mwanamke anadaiwa kuwa mkazi wa kijiji cha Chembeli.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages