Breaking News

Your Ad Spot

Mar 27, 2015

MAGARI YASABABISHA TAFRANI BAADA YA KUGONGANA LEO KATIKA MTAA WA SAMORA JIJINI DAR ES SALAAM

Otingo wa Gari la Kampuni ya  Usafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam (UDA)  lenye nama za usajili T 558 CVP  akitoa maelezo kwa mmoja wa abiria na kumuomba asubiri awapandishe kwenye gari nyingine la kampuni hiyo baada ya gari hilo kugongana na Gari lenye usajili wa T 498 DCU katika makutano ya Samora na Azikiwe .
 Askari wa Usalama Barabarani wakiwa katika eneo la tukio
 Askari wa Usalama Barabarani katikati akiongea na Dereva wa Gari lenye usajili  T 558 CVP  Mali ya  Kampuni ya  Usafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam (UDA)  akimwelekeza na kumuomba wapeleke gari kituoni polisi.
Wananchi wakiliangalia Gari lenye Usajili T 498 DCU lililopata ajali baada ya kugongana na gari  T 558 CVP  Mali ya  Kampuni ya  Usafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam (UDA) katika makutano ya Samora na Azikiwe  na akimwelekeza na kumuomba wapeleke gari kituoni polisi.(PICHA NA KHAMISI MUSSA)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages